1 Nyakati 6:71
1 Chronicles 6:71 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wagershoni walipokea miji ifuatayo pamoja na maeneo yake ya malisho: Katika nusu ya kabila la Manase: walipewa Golani katika Bashani na pia Ashtarothi.
1 Chronicles 6:71 in English
1 Chronicles 6:71 · Berean Standard Bible
The Gershomites received the following: From the clan of the half-tribe of Manasseh they were given Golan in Bashan and also Ashtaroth, together with their pasturelands.
Context
69Aiyaloni na Gath-Rimoni, pamoja na maeneo yake ya malisho. 70Kutoka nusu ya kabila la Manase, Waisraeli waliwapa koo za Wakohathi waliobaki miji ya Aneri na Bileamu pamoja na maeneo yake ya malisho. 71Wagershoni walipokea miji ifuatayo pamoja na maeneo yake ya malisho:
Katika nusu ya kabila la Manase:
walipewa Golani katika Bashani na pia Ashtarothi. 72Kutoka kabila la Isakari
walipokea Kedeshi, Daberathi, 73Ramothi na Anemu, pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.