1 Nyakati 6:72
1 Chronicles 6:72 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka kabila la Isakari walipokea Kedeshi, Daberathi,
1 Chronicles 6:72 in English
1 Chronicles 6:72 · Berean Standard Bible
From the tribe of Issachar they were given Kedesh, Daberath,
Context
70Kutoka nusu ya kabila la Manase, Waisraeli waliwapa koo za Wakohathi waliobaki miji ya Aneri na Bileamu pamoja na maeneo yake ya malisho. 71Wagershoni walipokea miji ifuatayo pamoja na maeneo yake ya malisho:
Katika nusu ya kabila la Manase:
walipewa Golani katika Bashani na pia Ashtarothi. 72Kutoka kabila la Isakari
walipokea Kedeshi, Daberathi, 73Ramothi na Anemu, pamoja na maeneo yake ya malisho. 74Kutoka kabila la Asheri
walipokea Mashali, Abdoni,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.