Native Bible

1 Chronicles 6:70 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka nusu ya kabila la Manase, Waisraeli waliwapa koo za Wakohathi waliobaki miji ya Aneri na Bileamu pamoja na maeneo yake ya malisho.

1 Chronicles 6:70 in English

1 Chronicles 6:70 · Berean Standard Bible

And from the half-tribe of Manasseh the remaining clans of the Kohathites were given Aner and Bileam, together with their pasturelands.

Context

68Yokmeamu, Beth-Horoni, 69Aiyaloni na Gath-Rimoni, pamoja na maeneo yake ya malisho. 70Kutoka nusu ya kabila la Manase, Waisraeli waliwapa koo za Wakohathi waliobaki miji ya Aneri na Bileamu pamoja na maeneo yake ya malisho. 71Wagershoni walipokea miji ifuatayo pamoja na maeneo yake ya malisho: Katika nusu ya kabila la Manase: walipewa Golani katika Bashani na pia Ashtarothi. 72Kutoka kabila la Isakari walipokea Kedeshi, Daberathi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.