1 Nyakati 6:65
1 Chronicles 6:65 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu.
1 Chronicles 6:65 in English
1 Chronicles 6:65 · Berean Standard Bible
They assigned by lot the cities named above from the tribes of Judah, Simeon, and Benjamin.
Context
63Wazao wa Merari, ukoo kwa ukoo walipewa miji kumi na miwili kutoka makabila ya Reubeni, Gadi na Zabuloni. 64Kwa hiyo Waisraeli waliwapa Walawi miji hii pamoja na maeneo yake ya malisho. 65Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu. 66Baadhi ya koo za Wakohathi walipewa kama nchi yao miji kutoka kabila la Efraimu. 67Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji wa makimbilio) na Gezeri,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.