1 Nyakati 6:64
1 Chronicles 6:64 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo Waisraeli waliwapa Walawi miji hii pamoja na maeneo yake ya malisho.
1 Chronicles 6:64 in English
1 Chronicles 6:64 · Berean Standard Bible
So the Israelites gave to the Levites these cities and their pasturelands.
Context
62Wazao wa Gershoni, ukoo kwa ukoo, walipewa miji kumi na mitatu kutoka kwa makabila ya Isakari, Asheri na Naftali kutoka sehemu ya kabila la Manase huko Bashani. 63Wazao wa Merari, ukoo kwa ukoo walipewa miji kumi na miwili kutoka makabila ya Reubeni, Gadi na Zabuloni. 64Kwa hiyo Waisraeli waliwapa Walawi miji hii pamoja na maeneo yake ya malisho. 65Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu. 66Baadhi ya koo za Wakohathi walipewa kama nchi yao miji kutoka kabila la Efraimu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.