Native Bible

1 Chronicles 6:66 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baadhi ya koo za Wakohathi walipewa kama nchi yao miji kutoka kabila la Efraimu.

1 Chronicles 6:66 in English

1 Chronicles 6:66 · Berean Standard Bible

And some of the clans of the Kohathites were given cities from the tribe of Ephraim for their territory:

Context

64Kwa hiyo Waisraeli waliwapa Walawi miji hii pamoja na maeneo yake ya malisho. 65Kutoka makabila ya Yuda, Simeoni na Benyamini walipewa miji iliyotajwa hapo juu. 66Baadhi ya koo za Wakohathi walipewa kama nchi yao miji kutoka kabila la Efraimu. 67Katika nchi ya vilima ya Efraimu walipewa Shekemu (mji wa makimbilio) na Gezeri, 68Yokmeamu, Beth-Horoni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.