Native Bible

1 Chronicles 6:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ahitubu akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Ahimaasi.

1 Chronicles 6:53 in English

1 Chronicles 6:53 · Berean Standard Bible

Zadok his son, and Ahimaaz his son.

Context

51Abishua akamzaa Buki, Buki akamzaa Uzi, Uzi akamzaa Zerahia, 52Zerahia akamzaa Merayothi, Merayothi akamzaa Amaria, Amaria akamzaa Ahitubu, 53Ahitubu akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Ahimaasi. 54Zifuatazo ni sehemu walizopewa ziwe nchi yao kwa ajili ya makazi yao (walipewa wazao wa Aroni waliotoka katika ukoo wa Wakohathi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia): 55Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na sehemu ya malisho inayouzunguka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.