Native Bible

1 Chronicles 6:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Zerahia akamzaa Merayothi, Merayothi akamzaa Amaria, Amaria akamzaa Ahitubu,

1 Chronicles 6:52 in English

1 Chronicles 6:52 · Berean Standard Bible

Meraioth his son, Amariah his son, Ahitub his son,

Context

50Hawa ndio waliokuwa wazao wa Aroni: Aroni akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua, 51Abishua akamzaa Buki, Buki akamzaa Uzi, Uzi akamzaa Zerahia, 52Zerahia akamzaa Merayothi, Merayothi akamzaa Amaria, Amaria akamzaa Ahitubu, 53Ahitubu akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Ahimaasi. 54Zifuatazo ni sehemu walizopewa ziwe nchi yao kwa ajili ya makazi yao (walipewa wazao wa Aroni waliotoka katika ukoo wa Wakohathi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia):

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.