1 Nyakati 6:51
1 Chronicles 6:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Abishua akamzaa Buki, Buki akamzaa Uzi, Uzi akamzaa Zerahia,
1 Chronicles 6:51 in English
1 Chronicles 6:51 · Berean Standard Bible
Bukki his son, Uzzi his son, Zerahiah his son,
Context
49Lakini Aroni na uzao wake ndio waliokuwa na wajibu wa kutoa sadaka katika madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na kwenye madhabahu ya kufukizia uvumba pamoja na yote yaliyofanyika pa Patakatifu, wakifanya upatanisho kwa ajili ya Israeli, sawasawa na yale yote aliyoagiza Mose mtumishi wa Mungu. 50Hawa ndio waliokuwa wazao wa Aroni:
Aroni akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi,
Finehasi akamzaa Abishua, 51Abishua akamzaa Buki,
Buki akamzaa Uzi, Uzi akamzaa Zerahia, 52Zerahia akamzaa Merayothi, Merayothi akamzaa Amaria,
Amaria akamzaa Ahitubu, 53Ahitubu akamzaa Sadoki,
Sadoki akamzaa Ahimaasi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.