1 Nyakati 6:50
1 Chronicles 6:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Aroni: Aroni akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,
1 Chronicles 6:50 in English
1 Chronicles 6:50 · Berean Standard Bible
These were the descendants of Aaron: Eleazar his son, Phinehas his son, Abishua his son,
Context
48Ndugu zao wengine Walawi walipewa huduma nyingine za kuhudumia hema takatifu, nyumba ya Mungu. 49Lakini Aroni na uzao wake ndio waliokuwa na wajibu wa kutoa sadaka katika madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na kwenye madhabahu ya kufukizia uvumba pamoja na yote yaliyofanyika pa Patakatifu, wakifanya upatanisho kwa ajili ya Israeli, sawasawa na yale yote aliyoagiza Mose mtumishi wa Mungu. 50Hawa ndio waliokuwa wazao wa Aroni:
Aroni akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi,
Finehasi akamzaa Abishua, 51Abishua akamzaa Buki,
Buki akamzaa Uzi, Uzi akamzaa Zerahia, 52Zerahia akamzaa Merayothi, Merayothi akamzaa Amaria,
Amaria akamzaa Ahitubu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.