Native Bible

1 Chronicles 6:55 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na sehemu ya malisho inayouzunguka.

1 Chronicles 6:55 in English

1 Chronicles 6:55 · Berean Standard Bible

They were given Hebron in the land of Judah and its surrounding pasturelands.

Context

53Ahitubu akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Ahimaasi. 54Zifuatazo ni sehemu walizopewa ziwe nchi yao kwa ajili ya makazi yao (walipewa wazao wa Aroni waliotoka katika ukoo wa Wakohathi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia): 55Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na sehemu ya malisho inayouzunguka. 56Lakini mashamba pamoja na vijiji vilivyouzunguka mji alipewa Kalebu mwana wa Yefune. 57Kwa hiyo wazao wa Aroni walipewa miji ifuatayo pamoja na eneo la malisho: Hebroni (mji wa makimbilio), Libna, Yatiri, Eshtemoa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.