1 Nyakati 6:57
1 Chronicles 6:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo wazao wa Aroni walipewa miji ifuatayo pamoja na eneo la malisho: Hebroni (mji wa makimbilio), Libna, Yatiri, Eshtemoa,
1 Chronicles 6:57 in English
1 Chronicles 6:57 · Berean Standard Bible
So the descendants of Aaron were given Hebron (a city of refuge), Libnah,* Jattir, Eshtemoa,
Context
55Walipewa Hebroni katika nchi ya Yuda pamoja na sehemu ya malisho inayouzunguka. 56Lakini mashamba pamoja na vijiji vilivyouzunguka mji alipewa Kalebu mwana wa Yefune. 57Kwa hiyo wazao wa Aroni walipewa miji ifuatayo pamoja na eneo la malisho: Hebroni (mji wa makimbilio), Libna, Yatiri, Eshtemoa, 58Hileni, Debiri, 59Ashani, Yuta na Beth-Shemeshi pamoja na maeneo yake ya malisho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.