Native Bible

1 Chronicles 6:59 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ashani, Yuta na Beth-Shemeshi pamoja na maeneo yake ya malisho.

1 Chronicles 6:59 in English

1 Chronicles 6:59 · Berean Standard Bible

Ashan,* Juttah, * and Beth-shemesh, together with their pasturelands.

Context

57Kwa hiyo wazao wa Aroni walipewa miji ifuatayo pamoja na eneo la malisho: Hebroni (mji wa makimbilio), Libna, Yatiri, Eshtemoa, 58Hileni, Debiri, 59Ashani, Yuta na Beth-Shemeshi pamoja na maeneo yake ya malisho. 60Kutoka kabila la Benyamini walipewa Gibeoni, Geba, Alemethi na Anathothi, pamoja na maeneo yake ya malisho. Miji hii kumi na mitatu iligawanywa miongoni mwa koo za Wakohathi. 61Wazao waliobaki wa Wakohathi walipewa miji kumi kutoka koo za nusu ya kabila la Manase.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.