1 Nyakati 6:61
1 Chronicles 6:61 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wazao waliobaki wa Wakohathi walipewa miji kumi kutoka koo za nusu ya kabila la Manase.
1 Chronicles 6:61 in English
1 Chronicles 6:61 · Berean Standard Bible
To the rest of the Kohathites, ten cities were allotted from the half-tribe of Manasseh.
Context
59Ashani, Yuta na Beth-Shemeshi pamoja na maeneo yake ya malisho. 60Kutoka kabila la Benyamini walipewa Gibeoni, Geba, Alemethi na Anathothi, pamoja na maeneo yake ya malisho.
Miji hii kumi na mitatu iligawanywa miongoni mwa koo za Wakohathi. 61Wazao waliobaki wa Wakohathi walipewa miji kumi kutoka koo za nusu ya kabila la Manase. 62Wazao wa Gershoni, ukoo kwa ukoo, walipewa miji kumi na mitatu kutoka kwa makabila ya Isakari, Asheri na Naftali kutoka sehemu ya kabila la Manase huko Bashani. 63Wazao wa Merari, ukoo kwa ukoo walipewa miji kumi na miwili kutoka makabila ya Reubeni, Gadi na Zabuloni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.