Native Bible

1 Chronicles 6:60 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka kabila la Benyamini walipewa Gibeoni, Geba, Alemethi na Anathothi, pamoja na maeneo yake ya malisho. Miji hii kumi na mitatu iligawanywa miongoni mwa koo za Wakohathi.

1 Chronicles 6:60 in English

1 Chronicles 6:60 · Berean Standard Bible

And from the tribe of Benjamin they were given Gibeon, * Geba, Alemeth, and Anathoth, together with their pasturelands. So they had thirteen cities in all among their families.

Context

58Hileni, Debiri, 59Ashani, Yuta na Beth-Shemeshi pamoja na maeneo yake ya malisho. 60Kutoka kabila la Benyamini walipewa Gibeoni, Geba, Alemethi na Anathothi, pamoja na maeneo yake ya malisho. Miji hii kumi na mitatu iligawanywa miongoni mwa koo za Wakohathi. 61Wazao waliobaki wa Wakohathi walipewa miji kumi kutoka koo za nusu ya kabila la Manase. 62Wazao wa Gershoni, ukoo kwa ukoo, walipewa miji kumi na mitatu kutoka kwa makabila ya Isakari, Asheri na Naftali kutoka sehemu ya kabila la Manase huko Bashani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.