1 Nyakati 6:58
1 Chronicles 6:58 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hileni, Debiri,
1 Chronicles 6:58 in English
1 Chronicles 6:58 · Berean Standard Bible
Hilen,* Debir,
Context
56Lakini mashamba pamoja na vijiji vilivyouzunguka mji alipewa Kalebu mwana wa Yefune. 57Kwa hiyo wazao wa Aroni walipewa miji ifuatayo pamoja na eneo la malisho: Hebroni (mji wa makimbilio), Libna, Yatiri, Eshtemoa, 58Hileni, Debiri, 59Ashani, Yuta na Beth-Shemeshi pamoja na maeneo yake ya malisho. 60Kutoka kabila la Benyamini walipewa Gibeoni, Geba, Alemethi na Anathothi, pamoja na maeneo yake ya malisho.
Miji hii kumi na mitatu iligawanywa miongoni mwa koo za Wakohathi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.