1 Nyakati 6:47
1 Chronicles 6:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mwana wa Mahli, mwana wa Mushi, mwana wa Merari, mwana wa Lawi.
1 Chronicles 6:47 in English
1 Chronicles 6:47 · Berean Standard Bible
the son of Mahli, the son of Mushi, the son of Merari, the son of Levi.
Context
45mwana wa Hashabia,
mwana wa Amazia, mwana wa Hilkia, 46mwana wa Amsi, mwana wa Bani,
mwana wa Shemeri, 47mwana wa Mahli,
mwana wa Mushi, mwana wa Merari,
mwana wa Lawi. 48Ndugu zao wengine Walawi walipewa huduma nyingine za kuhudumia hema takatifu, nyumba ya Mungu. 49Lakini Aroni na uzao wake ndio waliokuwa na wajibu wa kutoa sadaka katika madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na kwenye madhabahu ya kufukizia uvumba pamoja na yote yaliyofanyika pa Patakatifu, wakifanya upatanisho kwa ajili ya Israeli, sawasawa na yale yote aliyoagiza Mose mtumishi wa Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.