Native Bible

1 Chronicles 6:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwana wa Amsi, mwana wa Bani, mwana wa Shemeri,

1 Chronicles 6:46 in English

1 Chronicles 6:46 · Berean Standard Bible

the son of Amzi, the son of Bani, the son of Shemer,

Context

44Na kutoka kwa walioshirikiana nao, Wamerari, mkono wake wa kushoto: Ethani mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki, 45mwana wa Hashabia, mwana wa Amazia, mwana wa Hilkia, 46mwana wa Amsi, mwana wa Bani, mwana wa Shemeri, 47mwana wa Mahli, mwana wa Mushi, mwana wa Merari, mwana wa Lawi. 48Ndugu zao wengine Walawi walipewa huduma nyingine za kuhudumia hema takatifu, nyumba ya Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.