Native Bible

1 Chronicles 6:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwana wa Hashabia, mwana wa Amazia, mwana wa Hilkia,

1 Chronicles 6:45 in English

1 Chronicles 6:45 · Berean Standard Bible

the son of Hashabiah, the son of Amaziah, the son of Hilkiah,

Context

43mwana wa Yahathi, mwana wa Gershoni, mwana wa Lawi. 44Na kutoka kwa walioshirikiana nao, Wamerari, mkono wake wa kushoto: Ethani mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki, 45mwana wa Hashabia, mwana wa Amazia, mwana wa Hilkia, 46mwana wa Amsi, mwana wa Bani, mwana wa Shemeri, 47mwana wa Mahli, mwana wa Mushi, mwana wa Merari, mwana wa Lawi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.