Native Bible

1 Chronicles 6:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elieli, mwana wa Toa,

1 Chronicles 6:34 in English

1 Chronicles 6:34 · Berean Standard Bible

the son of Elkanah, the son of Jeroham, the son of Eliel,* the son of Toah,

Context

32Walihudumu kwa kuimba mbele ya Maskani, Hema la Kukutania, mpaka hapo Mfalme Solomoni alipojenga Hekalu la Bwana huko Yerusalemu. Walitimiza wajibu wao kulingana na taratibu walizokuwa wamewekewa. 33Wafuatao ni watu waliohudumu pamoja na wana wao: Kutoka ukoo wa Kohathi walikuwa: Hemani, mpiga kinanda, alikuwa mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli, 34mwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elieli, mwana wa Toa, 35mwana wa Sufu, mwana wa Elikana, mwana wa Mahathi, mwana wa Amasai, 36mwana wa Elikana, mwana wa Yoeli, mwana wa Azaria, mwana wa Sefania,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.