Native Bible

1 Chronicles 6:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwana wa Sufu, mwana wa Elikana, mwana wa Mahathi, mwana wa Amasai,

1 Chronicles 6:35 in English

1 Chronicles 6:35 · Berean Standard Bible

the son of Zuph, the son of Elkanah, the son of Mahath, the son of Amasai,

Context

33Wafuatao ni watu waliohudumu pamoja na wana wao: Kutoka ukoo wa Kohathi walikuwa: Hemani, mpiga kinanda, alikuwa mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli, 34mwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elieli, mwana wa Toa, 35mwana wa Sufu, mwana wa Elikana, mwana wa Mahathi, mwana wa Amasai, 36mwana wa Elikana, mwana wa Yoeli, mwana wa Azaria, mwana wa Sefania, 37mwana wa Tahathi, mwana wa Asiri, mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.