Native Bible

1 Chronicles 6:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wafuatao ni watu waliohudumu pamoja na wana wao: Kutoka ukoo wa Kohathi walikuwa: Hemani, mpiga kinanda, alikuwa mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli,

1 Chronicles 6:33 in English

1 Chronicles 6:33 · Berean Standard Bible

These are the men who served, together with their sons. From the Kohathites: Heman the singer, the son of Joel, the son of Samuel,

Context

31Hawa ndio watu ambao Daudi aliwaweka kuwa viongozi wa uimbaji katika nyumba ya Bwana, baada ya Sanduku la Agano kuletwa ili kukaa huko. 32Walihudumu kwa kuimba mbele ya Maskani, Hema la Kukutania, mpaka hapo Mfalme Solomoni alipojenga Hekalu la Bwana huko Yerusalemu. Walitimiza wajibu wao kulingana na taratibu walizokuwa wamewekewa. 33Wafuatao ni watu waliohudumu pamoja na wana wao: Kutoka ukoo wa Kohathi walikuwa: Hemani, mpiga kinanda, alikuwa mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli, 34mwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elieli, mwana wa Toa, 35mwana wa Sufu, mwana wa Elikana, mwana wa Mahathi, mwana wa Amasai,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.