Native Bible

1 Chronicles 4:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Hela walikuwa: Serethi, Sohari, Ethnani,

1 Chronicles 4:7 in English

1 Chronicles 4:7 · Berean Standard Bible

The sons of Helah were Zereth, Zohar,* Ethnan,

Context

5Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara. 6Hawa walikuwa wazao wa Naara: Ahuzamu, Heferi, Temeni na Haahashtari. 7Wana wa Hela walikuwa: Serethi, Sohari, Ethnani, 8na Kosi ambaye aliwazaa Anubi, Sobeba na jamaa zote za Aharheli mwana wa Harumu. 9Yabesi aliheshimiwa kuliko ndugu zake. Mama yake alimwita Yabesi, akisema, “Nilimzaa kwa huzuni.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.