Native Bible

1 Chronicles 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara.

1 Chronicles 4:5 in English

1 Chronicles 4:5 · Berean Standard Bible

Ashhur the father of Tekoa had two wives, Helah and Naarah.

Context

3Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu: Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi. 4Penueli akamzaa Gedori, naye Ezeri akamzaa Husha. Hawa walikuwa wazao wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi, na baba yake Bethlehemu. 5Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara. 6Hawa walikuwa wazao wa Naara: Ahuzamu, Heferi, Temeni na Haahashtari. 7Wana wa Hela walikuwa: Serethi, Sohari, Ethnani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.