1 Nyakati 4:6
1 Chronicles 4:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa walikuwa wazao wa Naara: Ahuzamu, Heferi, Temeni na Haahashtari.
1 Chronicles 4:6 in English
1 Chronicles 4:6 · Berean Standard Bible
Naarah bore to him Ahuzzam, Hepher, Temeni, and Haahashtari. These were the descendants of Naarah.
Context
4Penueli akamzaa Gedori, naye Ezeri akamzaa Husha.
Hawa walikuwa wazao wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi, na baba yake Bethlehemu. 5Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara. 6Hawa walikuwa wazao wa Naara: Ahuzamu, Heferi, Temeni na Haahashtari. 7Wana wa Hela walikuwa:
Serethi, Sohari, Ethnani, 8na Kosi ambaye aliwazaa Anubi, Sobeba na jamaa zote za Aharheli mwana wa Harumu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.