Native Bible

1 Chronicles 4:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na Kosi ambaye aliwazaa Anubi, Sobeba na jamaa zote za Aharheli mwana wa Harumu.

1 Chronicles 4:8 in English

1 Chronicles 4:8 · Berean Standard Bible

and Koz, who was the father of Anub and Zobebah and of the clans of Aharhel son of Harum.

Context

6Hawa walikuwa wazao wa Naara: Ahuzamu, Heferi, Temeni na Haahashtari. 7Wana wa Hela walikuwa: Serethi, Sohari, Ethnani, 8na Kosi ambaye aliwazaa Anubi, Sobeba na jamaa zote za Aharheli mwana wa Harumu. 9Yabesi aliheshimiwa kuliko ndugu zake. Mama yake alimwita Yabesi, akisema, “Nilimzaa kwa huzuni.” 10Yabesi akamlilia Mungu wa Israeli akisema, “Ee Mungu, laiti ungenibariki kweli kweli na kuipanua mipaka yangu! Mkono wako na uwe pamoja nami, uniepushe na uovu ili nisidhurike!” Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.