Native Bible

1 Chronicles 4:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu: Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi.

1 Chronicles 4:3 in English

1 Chronicles 4:3 · Berean Standard Bible

These were the sons * of Etam: Jezreel, Ishma, and Idbash. And their sister was named Hazzelelponi.

Context

1Wana wa Yuda walikuwa: Peresi, Hesroni, Karmi, Huri na Shobali. 2Reaya mwana wa Shobali akamzaa Yahathi, Yahathi akawazaa Ahumai na Lahadi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Wasorathi. 3Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu: Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi. 4Penueli akamzaa Gedori, naye Ezeri akamzaa Husha. Hawa walikuwa wazao wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi, na baba yake Bethlehemu. 5Ashuri baba yake Tekoa alikuwa na wake wawili, Hela na Naara.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.