1 Nyakati 4:2
1 Chronicles 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Reaya mwana wa Shobali akamzaa Yahathi, Yahathi akawazaa Ahumai na Lahadi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Wasorathi.
1 Chronicles 4:2 in English
1 Chronicles 4:2 · Berean Standard Bible
Reaiah son of Shobal was the father of Jahath, and Jahath was the father of Ahumai and Lahad. These were the clans of the Zorathites.
Context
1Wana wa Yuda walikuwa:
Peresi, Hesroni, Karmi, Huri na Shobali. 2Reaya mwana wa Shobali akamzaa Yahathi, Yahathi akawazaa Ahumai na Lahadi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Wasorathi. 3Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu:
Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi. 4Penueli akamzaa Gedori, naye Ezeri akamzaa Husha.
Hawa walikuwa wazao wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi, na baba yake Bethlehemu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.