1 Nyakati 3:18
1 Chronicles 3:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia.
1 Chronicles 3:18 in English
1 Chronicles 3:18 · Berean Standard Bible
Malchiram, Pedaiah, Shenazzar, Jekamiah, Hoshama, and Nedabiah.
Context
16Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni:
Yekonia mwanawe,
na Sedekia. 17Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka:
Shealtieli mwanawe, 18Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia. 19Wana wa Pedaya walikuwa:
Zerubabeli na Shimei.
Wana wa Zerubabeli walikuwa:
Meshulamu na Hanania.
Shelomithi alikuwa dada yao. 20Pia walikuwepo wengine watano:
Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-Hesedi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.