Native Bible

1 Chronicles 3:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pia walikuwepo wengine watano: Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-Hesedi.

1 Chronicles 3:20 in English

1 Chronicles 3:20 · Berean Standard Bible

and five others: Hashubah, Ohel, Berechiah, Hasadiah, and Jushab-hesed.

Context

18Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia. 19Wana wa Pedaya walikuwa: Zerubabeli na Shimei. Wana wa Zerubabeli walikuwa: Meshulamu na Hanania. Shelomithi alikuwa dada yao. 20Pia walikuwepo wengine watano: Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-Hesedi. 21Wazao wa Hanania walikuwa: Pelatia na Yeshaya, na wana wa Refaya, na wana wa Arnani, na wana wa Obadia, na wana wa Shekania. 22Wazao wa Shekania: Shemaya na wanawe: Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati; jumla yao walikuwa sita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.