1 Nyakati 3:22
1 Chronicles 3:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wazao wa Shekania: Shemaya na wanawe: Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati; jumla yao walikuwa sita.
1 Chronicles 3:22 in English
1 Chronicles 3:22 · Berean Standard Bible
The six descendants of Shecaniah were Shemaiah and his sons: Hattush, Igal, Bariah, Neariah, and Shaphat.
Context
20Pia walikuwepo wengine watano:
Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia na Yushab-Hesedi. 21Wazao wa Hanania walikuwa:
Pelatia na Yeshaya, na wana wa Refaya, na wana wa Arnani, na wana wa Obadia, na wana wa Shekania. 22Wazao wa Shekania:
Shemaya na wanawe:
Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati; jumla yao walikuwa sita. 23Wana wa Nearia walikuwa:
Elioenai, Hizkia na Azrikamu; jumla yao watatu. 24Wana wa Elioenai walikuwa:
Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani; jumla yao wote saba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.