Native Bible

1 Chronicles 3:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Elioenai walikuwa: Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani; jumla yao wote saba.

1 Chronicles 3:24 in English

1 Chronicles 3:24 · Berean Standard Bible

The sons of Elioenai: Hodaviah, Eliashib, Pelaiah, Akkub, Johanan, Delaiah, and Anani—seven in all.

Context

22Wazao wa Shekania: Shemaya na wanawe: Hatushi, Igali, Baria, Nearia na Shafati; jumla yao walikuwa sita. 23Wana wa Nearia walikuwa: Elioenai, Hizkia na Azrikamu; jumla yao watatu. 24Wana wa Elioenai walikuwa: Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani; jumla yao wote saba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.