Native Bible

1 Chronicles 3:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni: Yekonia mwanawe, na Sedekia.

1 Chronicles 3:16 in English

1 Chronicles 3:16 · Berean Standard Bible

The successors of Jehoiakim: Jeconiah * his son, and Zedekiah.

Context

14mwanawe huyo alikuwa Amoni na mwanawe huyo alikuwa Yosia. 15Wana wa Yosia walikuwa: Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, Yehoyakimu mwanawe wa pili, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu. 16Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni: Yekonia mwanawe, na Sedekia. 17Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: Shealtieli mwanawe, 18Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.