1 Nyakati 3:14
1 Chronicles 3:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mwanawe huyo alikuwa Amoni na mwanawe huyo alikuwa Yosia.
1 Chronicles 3:14 in English
1 Chronicles 3:14 · Berean Standard Bible
Amon his son, and Josiah his son.
Context
12mwanawe huyo alikuwa Amazia,
mwanawe huyo alikuwa Azaria,
mwanawe huyo alikuwa Yothamu, 13mwanawe huyo alikuwa Ahazi,
mwanawe huyo alikuwa Hezekia,
mwanawe huyo alikuwa Manase, 14mwanawe huyo alikuwa Amoni
na mwanawe huyo alikuwa Yosia. 15Wana wa Yosia walikuwa:
Yohanani mzaliwa wake wa kwanza,
Yehoyakimu mwanawe wa pili,
wa tatu Sedekia,
wa nne Shalumu. 16Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni:
Yekonia mwanawe,
na Sedekia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.