Native Bible

1 Chronicles 3:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwanawe huyo alikuwa Ahazi, mwanawe huyo alikuwa Hezekia, mwanawe huyo alikuwa Manase,

1 Chronicles 3:13 in English

1 Chronicles 3:13 · Berean Standard Bible

Ahaz his son, Hezekiah his son, Manasseh his son,

Context

11mwanawe huyo alikuwa Yehoramu, mwanawe huyo alikuwa Ahazia, mwanawe huyo alikuwa Yoashi, 12mwanawe huyo alikuwa Amazia, mwanawe huyo alikuwa Azaria, mwanawe huyo alikuwa Yothamu, 13mwanawe huyo alikuwa Ahazi, mwanawe huyo alikuwa Hezekia, mwanawe huyo alikuwa Manase, 14mwanawe huyo alikuwa Amoni na mwanawe huyo alikuwa Yosia. 15Wana wa Yosia walikuwa: Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, Yehoyakimu mwanawe wa pili, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.