Native Bible

1 Chronicles 3:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mwanawe huyo alikuwa Amazia, mwanawe huyo alikuwa Azaria, mwanawe huyo alikuwa Yothamu,

1 Chronicles 3:12 in English

1 Chronicles 3:12 · Berean Standard Bible

Amaziah his son, Azariah * his son, Jotham his son,

Context

10Mwana wa Solomoni alikuwa Rehoboamu, mwanawe huyo alikuwa Abiya, mwanawe huyo alikuwa Yehoshafati, mwanawe huyo alikuwa Asa, 11mwanawe huyo alikuwa Yehoramu, mwanawe huyo alikuwa Ahazia, mwanawe huyo alikuwa Yoashi, 12mwanawe huyo alikuwa Amazia, mwanawe huyo alikuwa Azaria, mwanawe huyo alikuwa Yothamu, 13mwanawe huyo alikuwa Ahazi, mwanawe huyo alikuwa Hezekia, mwanawe huyo alikuwa Manase, 14mwanawe huyo alikuwa Amoni na mwanawe huyo alikuwa Yosia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.