Native Bible

1 Chronicles 3:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Yosia walikuwa: Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, Yehoyakimu mwanawe wa pili, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu.

1 Chronicles 3:15 in English

1 Chronicles 3:15 · Berean Standard Bible

The sons of Josiah: Johanan was the firstborn, Jehoiakim the second, Zedekiah the third, and Shallum * the fourth.

Context

13mwanawe huyo alikuwa Ahazi, mwanawe huyo alikuwa Hezekia, mwanawe huyo alikuwa Manase, 14mwanawe huyo alikuwa Amoni na mwanawe huyo alikuwa Yosia. 15Wana wa Yosia walikuwa: Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, Yehoyakimu mwanawe wa pili, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu. 16Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni: Yekonia mwanawe, na Sedekia. 17Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: Shealtieli mwanawe,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.