Native Bible

1 Chronicles 3:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: Shealtieli mwanawe,

1 Chronicles 3:17 in English

1 Chronicles 3:17 · Berean Standard Bible

The descendants of Jeconiah the captive: Shealtiel his son,

Context

15Wana wa Yosia walikuwa: Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, Yehoyakimu mwanawe wa pili, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu. 16Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni: Yekonia mwanawe, na Sedekia. 17Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: Shealtieli mwanawe, 18Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia. 19Wana wa Pedaya walikuwa: Zerubabeli na Shimei. Wana wa Zerubabeli walikuwa: Meshulamu na Hanania. Shelomithi alikuwa dada yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.