Native Bible

1 Chronicles 27:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa Walawi: Hashabia mwana wa Kemueli; kwa Aroni: Sadoki;

1 Chronicles 27:17 in English

1 Chronicles 27:17 · Berean Standard Bible

over Levi was Hashabiah son of Kemuel; over Aaron was Zadok;

Context

15Jemadari wa kumi na mbili kwa mwezi wa kumi na mbili alikuwa Heldai Mnetofathi kutoka jamaa ya Othnieli. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 16Maafisa waliokuwa wanaoongoza makabila ya Israeli walikuwa: Kwa Wareubeni: Eliezeri mwana wa Zikri; kwa Wasimeoni: Shefatia mwana wa Maaka; 17kwa Walawi: Hashabia mwana wa Kemueli; kwa Aroni: Sadoki; 18kwa Yuda: Elihu, nduguye Daudi; kwa Waisakari: Omri mwana wa Mikaeli; 19kwa Wazabuloni: Ishmaya mwana wa Obadia; kwa Wanaftali: Yeremothi mwana wa Azrieli;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.