1 Nyakati 27:15
1 Chronicles 27:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jemadari wa kumi na mbili kwa mwezi wa kumi na mbili alikuwa Heldai Mnetofathi kutoka jamaa ya Othnieli. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
1 Chronicles 27:15 in English
1 Chronicles 27:15 · Berean Standard Bible
The twelfth, for the twelfth month, was Heldai * the Netophathite, from the family of Othniel. There were 24,000 men in his division.
Context
13Jemadari wa kumi kwa mwezi wa kumi alikuwa Maharai Mnetofathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 14Jemadari wa kumi na moja kwa mwezi wa kumi na moja alikuwa Benaya Mpirathoni wa Waefraimu. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 15Jemadari wa kumi na mbili kwa mwezi wa kumi na mbili alikuwa Heldai Mnetofathi kutoka jamaa ya Othnieli. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000. 16Maafisa waliokuwa wanaoongoza makabila ya Israeli walikuwa:
Kwa Wareubeni: Eliezeri mwana wa Zikri;
kwa Wasimeoni: Shefatia mwana wa Maaka; 17kwa Walawi: Hashabia mwana wa Kemueli;
kwa Aroni: Sadoki;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.