Native Bible

1 Chronicles 27:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa Wazabuloni: Ishmaya mwana wa Obadia; kwa Wanaftali: Yeremothi mwana wa Azrieli;

1 Chronicles 27:19 in English

1 Chronicles 27:19 · Berean Standard Bible

over Zebulun was Ishmaiah son of Obadiah; over Naphtali was Jerimoth son of Azriel;

Context

17kwa Walawi: Hashabia mwana wa Kemueli; kwa Aroni: Sadoki; 18kwa Yuda: Elihu, nduguye Daudi; kwa Waisakari: Omri mwana wa Mikaeli; 19kwa Wazabuloni: Ishmaya mwana wa Obadia; kwa Wanaftali: Yeremothi mwana wa Azrieli; 20kwa Waefraimu: Hoshea mwana wa Azazia; kwa nusu ya kabila la Manase: Yoeli mwana wa Pedaya; 21kwa nusu nyingine ya kabila la Manase huko Gileadi: Ido mwana wa Zekaria; kwa Wabenyamini: Yaasieli mwana wa Abneri;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.