Native Bible

1 Chronicles 27:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa Yuda: Elihu, nduguye Daudi; kwa Waisakari: Omri mwana wa Mikaeli;

1 Chronicles 27:18 in English

1 Chronicles 27:18 · Berean Standard Bible

over Judah was Elihu, one of David’s brothers; over Issachar was Omri son of Michael;

Context

16Maafisa waliokuwa wanaoongoza makabila ya Israeli walikuwa: Kwa Wareubeni: Eliezeri mwana wa Zikri; kwa Wasimeoni: Shefatia mwana wa Maaka; 17kwa Walawi: Hashabia mwana wa Kemueli; kwa Aroni: Sadoki; 18kwa Yuda: Elihu, nduguye Daudi; kwa Waisakari: Omri mwana wa Mikaeli; 19kwa Wazabuloni: Ishmaya mwana wa Obadia; kwa Wanaftali: Yeremothi mwana wa Azrieli; 20kwa Waefraimu: Hoshea mwana wa Azazia; kwa nusu ya kabila la Manase: Yoeli mwana wa Pedaya;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.