Native Bible

1 Chronicles 23:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Shimei walikuwa watatu: Shelomothi,* Hazieli na Harani. Hawa watatu walikuwa viongozi wa jamaa za Ladani.

1 Chronicles 23:9 in English

1 Chronicles 23:9 · Berean Standard Bible

The sons of Shimei: Shelomoth, Haziel, and Haran—three in all. These were the heads of the families of Ladan.

Context

7Wana wa Wagershoni walikuwa wawili: Ladani na Shimei. 8Wana wa Ladani walikuwa watatu: Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli. 9Wana wa Shimei walikuwa watatu: Shelomothi,* Hazieli na Harani. Hawa watatu walikuwa viongozi wa jamaa za Ladani. 10Nao wana wa Shimei walikuwa wanne: Yahathi, Zina,* Yeushi na Beria. 11Yahathi alikuwa wa kwanza na Ziza wa pili, lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo walihesabiwa kama jamaa moja, wakapewa wajibu kwa pamoja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.