1 Nyakati 23:10
1 Chronicles 23:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nao wana wa Shimei walikuwa wanne: Yahathi, Zina,* Yeushi na Beria.
1 Chronicles 23:10 in English
1 Chronicles 23:10 · Berean Standard Bible
And the sons of Shimei:* Jahath, Zina,* Jeush, and Beriah. These were the sons of Shimei—four in all.
Context
8Wana wa Ladani walikuwa watatu:
Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli. 9Wana wa Shimei walikuwa watatu:
Shelomothi,* Hazieli na Harani.
Hawa watatu walikuwa viongozi wa jamaa za Ladani. 10Nao wana wa Shimei walikuwa wanne:
Yahathi, Zina,* Yeushi na Beria. 11Yahathi alikuwa wa kwanza na Ziza wa pili, lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo walihesabiwa kama jamaa moja, wakapewa wajibu kwa pamoja. 12Wana wa Kohathi walikuwa wanne:
Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.