1 Nyakati 23:12
1 Chronicles 23:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Kohathi walikuwa wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
1 Chronicles 23:12 in English
1 Chronicles 23:12 · Berean Standard Bible
The sons of Kohath: Amram, Izhar, Hebron, and Uzziel—four in all.
Context
10Nao wana wa Shimei walikuwa wanne:
Yahathi, Zina,* Yeushi na Beria. 11Yahathi alikuwa wa kwanza na Ziza wa pili, lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; kwa hiyo walihesabiwa kama jamaa moja, wakapewa wajibu kwa pamoja. 12Wana wa Kohathi walikuwa wanne:
Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 13Wana wa Amramu walikuwa:
Aroni na Mose.
Aroni waliwekwa wakfu, yeye na wazao wake milele, wawe wakiweka wakfu vitu ambavyo ni vitakatifu mno, kutoa dhabihu mbele za Bwana, kuhudumu mbele zake na kutamka baraka katika Jina la Bwana milele. 14Wana wa Mose mtu wa Mungu walihesabiwa kama sehemu ya kabila la Lawi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.