Native Bible

1 Chronicles 23:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Ladani walikuwa watatu: Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli.

1 Chronicles 23:8 in English

1 Chronicles 23:8 · Berean Standard Bible

The sons of Ladan: Jehiel * the first, Zetham, and Joel—three in all.

Context

6Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. 7Wana wa Wagershoni walikuwa wawili: Ladani na Shimei. 8Wana wa Ladani walikuwa watatu: Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli. 9Wana wa Shimei walikuwa watatu: Shelomothi,* Hazieli na Harani. Hawa watatu walikuwa viongozi wa jamaa za Ladani. 10Nao wana wa Shimei walikuwa wanne: Yahathi, Zina,* Yeushi na Beria.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.