Native Bible

1 Chronicles 23:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Wagershoni walikuwa wawili: Ladani na Shimei.

1 Chronicles 23:7 in English

1 Chronicles 23:7 · Berean Standard Bible

The Gershonites: Ladan * and Shimei.

Context

5na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu Bwana kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.” 6Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. 7Wana wa Wagershoni walikuwa wawili: Ladani na Shimei. 8Wana wa Ladani walikuwa watatu: Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli. 9Wana wa Shimei walikuwa watatu: Shelomothi,* Hazieli na Harani. Hawa watatu walikuwa viongozi wa jamaa za Ladani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.