Native Bible

1 Chronicles 23:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu Bwana kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.”

1 Chronicles 23:5 in English

1 Chronicles 23:5 · Berean Standard Bible

4,000 are to be gatekeepers, and 4,000 are to praise the LORD with the instruments I have made for giving praise.”

Context

3Walawi waliokuwa na umri wa miaka thelathini au zaidi walihesabiwa, nayo hesabu ya wanaume ilikuwa 38,000. 4Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la Bwana na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi, 5na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu Bwana kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.” 6Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. 7Wana wa Wagershoni walikuwa wawili: Ladani na Shimei.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.