1 Nyakati 23:6
1 Chronicles 23:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari.
1 Chronicles 23:6 in English
1 Chronicles 23:6 · Berean Standard Bible
Then David divided the Levites into divisions according to the sons of Levi: Gershom, Kohath, and Merari.
Context
4Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la Bwana na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi, 5na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu Bwana kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.” 6Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. 7Wana wa Wagershoni walikuwa wawili:
Ladani na Shimei. 8Wana wa Ladani walikuwa watatu:
Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.