Native Bible

1 Chronicles 23:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la Bwana na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi,

1 Chronicles 23:4 in English

1 Chronicles 23:4 · Berean Standard Bible

“Of these,” said David,* “24,000 are to oversee the work of the house of the LORD, 6,000 are to be officers and judges,

Context

2Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi. 3Walawi waliokuwa na umri wa miaka thelathini au zaidi walihesabiwa, nayo hesabu ya wanaume ilikuwa 38,000. 4Daudi akasema, “Miongoni mwa hawa, 24,000 watasimamia kazi ya Hekalu la Bwana na 6,000 watakuwa maafisa na waamuzi, 5na 4,000 watakuwa mabawabu, na wengine 4,000 watamsifu Bwana kwa ala za uimbaji nilizotoa kwa ajili ya kusudi hilo.” 6Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.